Header Ads

Breaking News
recent

FILAMU MPYA YA WASTARA, INAYOITWA "SHAYMAA" KUACHIWA SOON.

Baada ya kupata misuko suko ya kuondokewa na mumewe, Star wa filamu nchini Wastara Juma yuko katika harakati za kuachia movie yake mpya mwezi huu inayokwenda kwa jina la "Shaymaa".

Filamu hiyo ya "Shaymaa" itakayodondoka sokoni mwezi huu wa Novemba.2013, imewashirikisha wacheza filamu kama Yusuph Mlela, Salma Jabu, Hamida Haroub na Mohamedy Kingochi. Itakuwa bonge la filamu, tuwe na subira.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.