AUDIO: MUZIKI NA WASANII WA TANZANIA - KIPINDI CHA RADIO CHA "DANGER ZONE LIFE". MP3.
Sikiliza hapa kipindi cha radio cha "Danger Zone Life" wiki hii kimezungumzia sanaa ya muziki na wa hapa nyumbani Tanzania. Kwa kawaida kipindi hiki huchambua mada mbali mbali katika jamii.
Pia unakaribishwa kutoa maoni yako hapo chini. Kipindi hiki kinahitaji udhamini wako wa hali na mali kwa wewe mdau.
Pia unakaribishwa kutoa maoni yako hapo chini. Kipindi hiki kinahitaji udhamini wako wa hali na mali kwa wewe mdau.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA