Ni yule fundi wa kuchana verse zisizo na kikomo, lakini anasema akichana saana ni hatari kwa afya yako, namzungumzia msanii Zaiid... Pata hapa wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Picasso".
WIMBO MPYA: ZAIID - PICASSO (Audio).
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Wednesday, October 16, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA