Katika toleo la mwezi August 2013 la Forbes Africa, msichana mdogo wa kiafrika Zuriel Oduwole mwenye miaka 11, amejikuta akivunja rekodi ya jarida hilo baada ya kufanyiwa mahojiano. Tazama video hapa.
VIDEO: MSICHANA MDOGO WA KIAFRIKA "ZURIEL ODUWOLE" AWA WA KWANZA KUHOJIWA NA JARIDA LA FORBES AFRICA 2013.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, October 07, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA