TUNDA MAN KUACHIA WIMBO MPYA, UNAITWA "MSAMBINUNGWA"
Ikiwa tupo siku ya pili mashabiki wa Tunda Man wakiwa na kiu yakutaka kujua
ni kitu gani anakuja nacho msanii wao, basi leo imetolewa picha hii
inayotaja jina la huo wimbo pamoja na msanii aliyemshirikisha.
Wimbo unaitwa MSAMBINUNGWA na msanii aliyemshirikisha ni ALLY KIBA, sijui wimbo utakuwaje hata mimi nina kiu yakutaka kuusikiliza ila wote tuendelee kuusubiria hapa hapa.
Wimbo unaitwa MSAMBINUNGWA na msanii aliyemshirikisha ni ALLY KIBA, sijui wimbo utakuwaje hata mimi nina kiu yakutaka kuusikiliza ila wote tuendelee kuusubiria hapa hapa.