KAMPUNI YA TG MOTORS INATOA HUDUMA BORA NA NAFUU KABISA KATIKA KUINGIZA MAGARI AINA ZOTE NCHINI.
![]() |
Mkurugenzi wa TG Motors bwana Deogracious W. Temba akiwa ofisini kwake. |
Akizungumza na Asili Yetutz katika ofisi za kampuni hiyo zilizopo mtaa wa Pangani - Kitinda Building, ghorofa ya pili chumba namba 022, Mkurugenzi wa TG Motors bwana Deogracious W. Temba alithibitisha kuwa kampuni hiyo inatoa huduma za viwango vya juu kwa kujali mahitaji ya wateja wao, ambapo huingiza aina tofauti tofauti za magari nchini. Kama vile Canter,Subaru, Tractor, Hilux n.k
Mkurugenzi huyo wa TG MOTORS ya Arusha anawakaribisha wateja wote wanaohitaji kuagiziwa nje magari aina zote, kwa viwango nafuu na kwa muda stahiki. Mawasioliano tazama hapo chini....