Msanii kutoka nchini Marekani - Rihanna, ameshare picha zake katika mtandao wake wa Instagram, wakati alipoitembelea Afrika ya kusini ikiwa ni mzunguko wa “Diamonds World Tour,”aliokuwa akiufanya.
Hapa Rihanna akiwa na mwenzie, Melissa Forde
PICHA ZA RIHANNA WAKATI AMEITEMBELEA SOUTH AFRICA KATIKA MZUNGUKO WA "DIAMONDS WORLD TOUR".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Saturday, October 19, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA