Header Ads

Breaking News
recent

(Audio) SNOOP DOGG AJIITA SNOOPZILLA KATIKA ALBUM MPYA YA "7 DAYS OF FUNK".

Snoop Dogg au Snoop Lion, amejibadili jina tena na kujiita Snoopzilla wakati wa kutengeneza album mpya ya miondoko ya FUNK, ambapo staa huyu ameungana na mfalme wa miondoko ya Funk anayejulikana kama Dam-Funk katika Album mpya ya "7 Days Of Funk" itakayotoka tarehe 10 ya mwezi December 2013. Sikiliza hapa single ya kwanza “Faden Away” itakayokuwa katika album hiyo....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.