Diva Mariah Carey, hatimae ameachia picha ya cover ya wimbo wake mpya wa "The Art Of Letting Go" ambao utaachiwa baada ya wiki mbili yani November 11. Wimbo huu ndio uliobeba jina la Album yake mpya iliyoko jikoni kwa sasa.
PICHA: MARIAH CAREY AACHIA SINGLE COVER YA WIMBO WAKE MPYA - "The Art Of Letting Go"
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, October 28, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA