MSANII CIARA NA RAPPER FUTURE WATANGAZA KUWA WACHUMBA.
Katika sikukuu ya kuzaliwa kwa msanii Ciara jana, ambapo mwanadada huyu alikuwa akisherehekea kutimiza miaka 28 ya kuzaliwa, rapper Future alitupia bonge la pete ya diamond katika kidole cha mwanadada Ciara na kutangaza rasmi uchumba.
Haya ni baadhi ya maneno ambayo Ciara aliyatupia katika mtandao wake wa Tweeter.... “Today Has 2 Be Like One Of The Sweetest Days Of My Life! #TheBestBirthdayEver,” Ciara tweeted on Saturday. “If I’m Dreaming I Don’t Want To Wake Up..Aaaaaahhh!!!”

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA