P-SQUARE LIVE IN DAR! NUNUA TIKETI KWA M-PESA SASA!
VENUE: Leaders Club
Advance via M-pesa – Tsh 30,000 Kuanzia leo hadi Nov 17
Advance Dukani – Tsh 35,000 Kuanzia tarehe 18 Nov hadi Nov 23 saa 10 jioni
Siku ya show getini– Tsh 50,000
Lipia tiketi ya tamasha la P-square kwa M-pesa uokoe usumbufu wa kulipa
zaidi dukani au getini na upate muda wa maongezi wa Sh 1,000 BURE.
1. - Piga *150*00# kupata MENYU ya M-pesa
2. - Chagua LIPA KWA M-PESA
3. - Ingiza NAMBA YA MALIPO ambayo ni 111222
4. - Ingiza kiasi unacholipia: Mfano Sh 30,000 kwa tiketi moja
5. - Weka NAMBA YAKO YA SIRI ya M-pesa kisha Bonyeza OK.
Utapokea ujumbe Mfupi wenye kumbukumbu ya Malipo. Utachukua tiketi yako
kuanzia tar 18 Nov kwenye sehemu zifuatazo. VODASHOP MLIMANI CITY,
VODASHOP MASAKI, VODASHOP MILLENIUM TOWERS, VODASHOP SAMORA na VODASHOP
QUALITY CENTER
KUMBUKA: Ukilipa kwa M-pesa ni Sh 30,000/= na
mwisho wa kuuza tiketi kwa M-pesa ni tarehe 17 Nov, kuanzia tarehe 18
November tiketi zitauzwa Dukani kwa sh 35,000 mpaka tarehe 23 November
saa 10 jioni, ukilipa getini siku ya tamasha ni Sh 50,000.
Together, Tunawakilisha!
P-SQUARE LIVE IN DAR! NUNUA TIKETI KWA M-PESA SASA!
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, October 28, 2013
Rating: 5
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, October 28, 2013
Rating: 5

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA