Header Ads

Breaking News
recent

CHID BEENZ CHUMA - ATOA SIRI KUHUSU UWEZO WAKE KATIKA KUFANYA SHOW JUKWAANI.

 Kupitia mtandao wake wa Tweeter, msanii wa miondoko ya kufoka foka nchini, maarufu kama ChidBeenz Chuma, ametoboa siri ya nguvu zake wakati akiwa anaimba stejini.

ChidBeenz ni mmoja kati ya wasanii wakali sana jukwaani na kama ungekuwa ni mpira wa miguu basi namba yake ni 6, coz anakaba kote kote na hata yeye mwenyewe anaufahamu uwezo wake, so big up Chuma.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.