Msanii mwenye mbwembwe nyingi katika mavazi yake binafsi,maarufu kama
Lady Gaga, ameachia wimbo mpya unaofahamika kama
"G.U.Y".
Album yake ya tatu, itadondoka sokoni
Nov. 11 ambapo amewashirikisha wasanii kama, R. Kelly, T.I., Too $hort, na Twista. Usikilize wimbo wake mpya hapa...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA