NEW MUSIC: SEAN PAUL FT. IGGY AZALEA - "WICKEDEST STYLE".
Katika miondoko ya Dancehall, msanii Sean Paul amemshirikisha mwanadada Iggy Azalea katika wimbo wake mpya unaofahamika kama "Wickedest Style".
Katika Album mpya ya Sean Paul, inayoitwa Full Frequency itaingia sokoni Nov. 4 huko U.K. ambapo atakuwa amewashirikisha wanasii kama, Damian Marley, 2 Chainz, Juicy J, na Nicki Minaj, huku production ikiwa imefanywa na GoonRock, Toby Gad, and Benny Blanco.
SIKILIZA WIMBO HUU HAPA...

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA