MSANII KANYE WEST AVISHA PETE YA UCHUMBA MPENZI WAKE KIM KARDASHIAN.
Super Star wa miondoko ya rap, namzungumzia Kanye West, amemtupia swali mpenzi wake yani Kim Kardashian huko San
Francisco, ambapo mwanadada Kim alilikubali na K. West hakupoteza muda
alitupia bonge la pete ya diamond katika kidole cha Kim Kardashian.
Wakati Kanye West akipiga goti moja chini na kumuomba Kim ili amvalishe pete ya uchumba, screen kubwa ilionyesha maandishi haya...“PLEEEASE MARRY MEEE!!!”
Icheki Diamond aliyovishwa Kim Kardashian