VIDEO YA "AY" NA "MWANA FA" - (BILA KUKUNJA GOTI) KUONEKANA "TRACE, MTV NA CHANNEL O".
Msanii Mwana FA, kupitia kituo cha redio cha Clouds Fm, amefunguka kuwa, video ya nyiombo yao na AY yani "Bila Kukunja Goti" imekubaliwa kuchezwa katika vituo vya luninga za kimataifa yani MTV BASE, TRACE na Channel O.
FA amefunguka kuwa, wanasubili video hiyo ianze kuchezwa ili waweze kuiachia wakati mmoja na hapa nyumbani. Video hiyo imefanywa nchini Afrika ya kusini.
FA amefunguka kuwa, wanasubili video hiyo ianze kuchezwa ili waweze kuiachia wakati mmoja na hapa nyumbani. Video hiyo imefanywa nchini Afrika ya kusini.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA