Header Ads

Breaking News
recent

WIMBO MPYA WA DAYNA "NAUMIA" UNAODAIWA KUFANANA BEAT NA ULE WA DIAMOND - "NUMBER ONE" (Audio).

Baada ya vugu vugu kuhusu wimbo mpya wa Diamond kusemekana eti ametumia beat ya msanii Dayna katika wimbo wake wa Number 1, sasa Dayna nae ameachia wimbo wake. Sikiliza hapo mwenyewe ngoma hizi mbili.

Sikiliza wimbo mpya wa Dayna - Naumia

 -
 Pia sikiliza Number One wa Diamond
......

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.