Msanii wa miondoko ya Bongo Flava nchini maarufu kama Ommy Dimpoz tayari amekwisha wasili nchini Marekani, ambapo jumamosi hii anatarajia kupiga show pande za Washngton DC.
Show itakayofuta ni ya Houston ambapo itakuwa ni tarehe 28 mwezi huu. Na show ya mwisho itakuwa Los Angels Octoba 5.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA