PICHA: KATERINA STAR WA TAMTHILIA YA WALANG HANGGAN (MY ETERNAL) NA ILE YA MARA CLARA.
STAA wa filamu za Kiphilipino ambaye katika Tamthilia ya Walang Hanggan (My Eternal) ameigiza kama Katerina na katika Tamthilia ya Mara Clara aliigiza kama Clara ni mmoja ya waigizaji wenye mvuto katika screen.
Staa huyu ambaye kwa jila lake la kikazi anafahamika kama Julia Montes, ni kati ya wasanii wenye umri mdogo walioteka mashabiki wengi wa filamu za Kiphilipino.
Julia ni mchanganyiko wa kijerumani na kiphilipino ambapo baba yake ni mjerumani na mama yake ni mphilipino. Julia alianza kuigiza filamu za TV tokea mwaka 2003 ambapo filamu ya kwanza aliyoshiriki ilikuwa ikiitwa "Sana Ay Ikaw na Nga" ambapo alicheza kama"Danica"
Katerina ama Clara amekwisha pata tuzo mfurulizo mwa mwaka 2011 hadi 2013 zikiwezo za muigizaji mrembo/ mwenye mvuto wa kiphilipino na kijerumani.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA