Header Ads

Breaking News
recent

MSANII DIAMOND PLATNUMZ NI MMOJA KATI YA WASANII WA TANZANIA WALIOTOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KENYA.

Wasanii wa Tanzania wakiungana na msanii Diamond ambaye ameamua kutengeneza picha maalum kabisa kwaajili ya kuonyesha kuguswa na tukio lililowapata jirani zetu wakenya siku ya jumamosi, wametuma salamu za rambi rambi kwa wakenya.

Kwa mujibu wa Bongo5 wasanii walioungana na watanzania kutuma salamu za rambi rambi ni pamoja na Lady Jay Dee, Mwana FA, AY, Vanessa Mdee, Ditto, Soggy Doggy, Wakazi na wengine wengi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.