Kwa haraka haraka unaweza kudhani ni utani lakini inaonekana waziri alipitwa kushoto na protokali ya shughuli hiyo iliyofanyika Ujerumani.