VIDEO: THE SESSION SHOW SASA NI ZAMU YA "MONA GANGSTAR" - KENEDY THE REMEDY.
OF COURSE kipindi cha THE SESSION ndicho kipindi kinachoonyesha ni wapi wasanii na producers wanakopikia ngoma ambazo mwisho wa siku huja kuwa gumzo la kitaa. Kipindi kilichopita tulimcheki Mswaki lakini leo pia tunaburudika na "MONA GANGSTA" shoo inazidi kuwa hot than..... Tupia macho hapo juu, KENEDY THE REMEDY ndo anasababisha mpangomzima.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA