DOWNLOAD BURE KIPINDI CHA RADIO CHA "DANGER ZONE LIFE" KILICHOFUNGULIWA LEO.
Sasa unaweza ku- DOWNLOAD na KUSIKILIZA kipindi cha Redio cha "DANGER ZONE LIFE" ambacho kimeanza kuruka rasmi leo katika mitandao kibao ya kijamii.
Kipindi hiki kitakuwa kinaruka kupitia mtandao wa Interneti mara moja kwa wiki, ambapo kitatoa nafasi ya msikilizaji kukisikiliza na kudownload bure kabisa. Bloggers wote mnakaribishwa sana kushare kipindi hichi katika site zenu.
MAONI na mapendekezo kwa wadau wote wa kipindi hichi yanaruhusiwa live bila chenga, fanya hizo kama support yako. Tunashukuru sana.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA