 |
Mtaalamu wa Kilimo bora bwana Mangi kutoka Kibo Seed ya jijini Arusha.
|
Sikiliza kipindi cha radio cha
D'ZONE LIFE kilichopata nafasi ya kuzungumza na mtaalamu wa kilimo bora bwana Mwangi Currier kutoka kampuni ya
KIBO SEED iliyoko jijini Arusha. Kampuni ya
KIBO SEED ni kampuni inayouza mbegu bora za mazao pamoja na kutoa elimu kwa wakulima mbali mbani hapa nchini Tanzania ukitaka kupata mbegu bora wao wanapatikana mkabala na Arusha Annex jijini Arusha.
SIKILIZA KIPINDI HICHI UTAPATA MENGI KUHUSU KILIMO BORA CHA MBOGA MBOGA.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA