MAFUNZO YA SAUTI YA JINSI YA KUTUMIA KONDOMU ZA "LADY PEPETA" KWA WANAWAKE, KUTOKA KAMPUNI YA "T - MARC".
Lady Pepeta inatengenezwa na "The Female Helth Company" Hapa nchini inasambazwa na T-MARC kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
SIKILIZA HAPA MAFUNZO YA KUTUMIA KONDOMU ZA KIKE.
![]() |
| Watoa mafunzo ya jinsi ya kutumia kondomu kwa usahihi wakiongea na mwana habari katika banda la kampuni ya T-MARC wakati wa maonyesho ya nane nane jijini Arusha. |


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA