Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Maiko a.k.a Lulu anatarajia kuzindua Filamu yake mwezi August 30, 2013 inayoitwa "Foolish Age".
Natumai mashabiki wa filamu za nyumbani +255 mtampatia ushirikiano wa kutosha katika hili kwa kile mkipendacho.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA