Header Ads

Breaking News
recent

NELSON MANDELA LEO ATIMIZA MIAKA 95 YA KUZALIWA KWAKE.

Nelson Mandela anatimiza miaka 95 hii leo. Kusherekea- watu duniani wanaadhimisha miaka 67 ya Mandela ya kuhudumia taifa kwa kufanya mambo mema kwa dakika 67 leo. Je utafanya/umefanya nini kwa dakika 67 leo kuadhimisha hilo?

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.