AJALI MBAYA YA TRENI YAUA 77 NA WENGINE 131 KUJERUHIWA NCHINI UISPANIA.
Kwa mujibu wa jarida la Reuters limeeleza kuwa shuhuda wa tukio hilo ambao walikuwa ndani ya gari moshi hiyo, wameeleza kuwa huenda chanzo cha ajali hiyo mbaya kimetokana na mwendo kasi wa gari moshi hiyo iliyokuwa kasi sana kabla ya ajali kutokea.
Baada ya ajali kutokea, moshi mkubwa ulitanda ndani ya mabehewa yaliyokuwa tayari yamepandiana, huku juhudi za majeruhi kutafuta njia ya kujinusuru zikionekana kugonga mwamba. Lakini muda huo tayari vyombo vya uokoaji vilikuwa tayari vimefika na kuanza uokozi mara moja.
![]() |
| Juhudi za uokozi zikiwa zinaeendelea. |



No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA