WIMBO WA "TUDUMISHE AMANI" - RODGERS ISRAEL FT WATOTO WA PARADISE.
Nchi yetu kwa sasa unapoteza ule muelekeo wa AWALI tuliokua nao yaani
AMANI. Kila kukicha matukio tofauti tofauti ya kuhatarisha AMANI yetu
yanatokea kitu ambacho kitatupeleka kwenye VITA vya wenyewe kwa
wenyewe.
Mimi kama Rodgers Israel nimeliona hili na kulitazama kwa jicho la
tatu ndio maana nimeweza kuwakutanisha wasanii zaidi ya kumi na kuimba
wimbo huu wa TUDUMISHE AMANI ili kuikumbusha jamii ya Watanzania na
Dunia kwa ujumla kuwa tunapaswa kuilinda AMANI tuliyonayo kwa ajili ya
vizazi vijavyo vya nchi yetu.
Ndani ya wimbo huu wameimba wasanii zaidi ya kumi maarufu kama watoto
wa Paradise ambao ni Chris wa Jano, Soja B, G wa Simon, G fire, Lady
Nike, Mass B, Rayswing The Ngada, Yung Omega, Simpoo, Dj A11, Lady
Yoo, Joseph Amani na mimi Rodgers.
Wimbo huu umetengenezwa na Producer Soja B kutoka pande za TVC RECORDS
Kimandolu Jijini Arusha.
.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA