Header Ads

Breaking News
recent

TEMBELEA SEHEMU YA KIHISTORIA YA OLDUVAI GORGE UJIONEE MENGI.

Olduvai Gorge ni sehemu muhimu na maarufu sana katika maeneo ya kihistoria ya hapa kwetu Tanzania, ambapo sehemu hii  imekuwa ni kivutio cha wageni na wenyeji kutoka mikoa mbali mbali.

Tembelea Olduvai Gorge iliyoko Mkoani Arusha, na upate rekodi mbali mbaliza zamani kama nyayo za watu wa zamani pamoja na picha kibao.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.