KALA JEREMIAH MSANII BORA WA HIP HOP 2013 - AAMUA KUMUENZI "ALBERT MANGWEA" KWA KUMPATIA TUZO YAKE MOJA.
Msanii Kala Jeremuih akipokea Tuzo usiku wa Jumamosi,Mlimani City.Msanii
huyo leo amesema kuwa ameamua kumuenzi marehemu Ngwair kwa kwenda
kukabidhi Tuzo moja kwa mama yake Ngwair.
"MIMI
KAMA MSANII BORA WA HIP HOP KWA MWAKA HUU NAPENDA KUCHUKUA MUDA HUU
KUWATANGAZIA WATU WOTE KUWA, KATIKA TUZO TATU NILIZOCHUKUA MOJA
NAIKABIDHI KWA ALBERT MANGWEHA.YANI NI TUZO YA MANGWEA NA NITAIPELEKA KWA
MAMA MZAZI WA MANGWEA MOROGORO.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA