Header Ads

Breaking News
recent

GOSPEL NEWS: PENDO BHOSSA NI MSANII WA MUZIKI WA INJILI ANAYEFANYA VIZURI KANDA YA KASKAZINI MWA TANZANIA.

Pendo Bhossa ni msanii wa muziki wa injili anayekuja kwa kasi hapa nchini, huku akionekana kufanya vizuri na album yake ya "Tazama Juu Utamuona Yesu".

Akizungumza na Asili Yetu Tanzania, Pendo amedai kuwa baada ya kuachia album yake ya kwanza yenye nyimbo nane, sasa tayari amekwisha suka mistari ya albam ya pili yenye nyimbo 10. Msikilize hapa ikiwezekana umpatie sapoti ili aweze kurekodi album hii kali yenye baraka tele.

 SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA
,

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.