Header Ads

Breaking News
recent

GNAKO FT. BEN POL - "WARA NA MPIRA" (NEW HIT).

G Wara wara toka Crew la Nako2Nako na kampuni ya WEUSI anakuja na SNIPPET yaani KIONJO tu cha wimbo wake mpya utakaoingia sokoni hivi karibuni ikiwa ni mkono toka Noizmekah production studios kwa Defxtro.
 Snippet hii ni ya wimbo wa " Wara na Mpira aliomshirikisha mkali wa RnB  BenPol,Sasa hatuelewi Soka na Muziki kwa namna gani vinahusiana hapa ila tumuachie Fanani Gnako atupe ladha kidogo then baadae tutaelewa zaidi, Kwa sasa pata kionjo HAPA

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.