WITNES FT. OCHU SHEGGY - "ZAGA ZAGA" (HII NI VIDEO MPYA YA WITNES WA WAKILISHA).
Video mpya kutoka kwa Msanii wa Hip Hop hapa Tanzania,Witnes wa
Wakilisha.Inaitwa 'Zagazaga' Witnes anasema ni ngoma yake ya kwanza
kuiperform live kwenye stage mwaka 1997.Pool side Kilimanjaro Hotel.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA