TANZANIA & UGANDA COLLABO: VANKING FT. RENEZ -"NIVUTE" (AUDIO).
Anakuja Kijana Vanking akiwa amemshirikisha mwanadada toka Uganda anayekwenda kwa jina Renez na wimbo wa "Nivute" iliosukwa pande za Noizmekah studios Arusha.
Ngoma ni mahadhi ya dancehall kuisikiliza na kudownload bofya hapo chini........
Ngoma ni mahadhi ya dancehall kuisikiliza na kudownload bofya hapo chini........

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA