"I JUST WANNA DANCE" (AUDIO) - M2TATU FT ESLYNE.
Toka New Way Music, Record label inayomilikiwa na producer Mosco wanakuja vijana watatu wakishirikiana na mwanadada Eslyne katika ngoma yao mpya inayoitwa "I jus Wanna Dance"
ilorekodiwa katika studio za Noizmekah chini ya Defxtro.
Hii ngoma iwaendee club maniacs wote around tha world,Tunajipanga kushoot video yake anyday soon..kusikiliza I jus Wanna Dance bofya HAPA na endelea kusupport Tanzanian Music.
Hii ngoma iwaendee club maniacs wote around tha world,Tunajipanga kushoot video yake anyday soon..kusikiliza I jus Wanna Dance bofya HAPA na endelea kusupport Tanzanian Music.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA