Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA AJALI YA CHRIS BROWN HUKO LOS ANGELES AKIWA NA MPENZI WAKE WA ZAMANI "KARRUECHE TRAN".

Msanii wa miondoko ya R&B Chris Brown amepata ajali ndogo ya gari ambapo msanii huyo aliigonga kwa nyuma gari ya dada mmoja anayeonekana pichani akiwa amevalia viatu vyeupe na suruali nyeusi huko Los Angeles Marekani.

Katika picha hiyo, mpenzi wa zamani wa Chris Brown - Karrueche Tran, anaonekana kuwa bize kuchukua picha za gari iliyogongwa kwa nyuma.

Ikiwa ni muda mfupi tokea Chris Brown na Rihanna kuachana ni maswali mengine yanayomnyemelea Chris kuhusu uhusiano wake na Karrueche ndo unarudi au ni tukio tu??.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.