Header Ads

Breaking News
recent

NICKI MINAJI ACHUKUA TUZO YA MWANAMUZIKI BORA WA RAP KATIKA TUZO ZA BILLBOARD 2013.

Kama kawaida ya mwanamuziki Nicki Minaji kutesa katika nyanja za muziki wa rap, time hii amenyakuwa tuzo ya mwanamuziki bora wa rap katika tuzo za Billboard za mwaka 2013.

Tuzo hizo za muziki zilifanyika usiku wa jumapili huko MGM Grand Garden Arena, May 19, 2013 Las Vegas. 

(Photo by Chris Pizzello/Invision/AP)

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.