NEW SWEET REGGAE: KENEH - "JUA KALI".
Msanii wa Reggae/Afropop Keneh, mkazi wa Arusha aja na Jua kali, Ngoma
ya mahadhi ya Sweet Reggae inayozungumzia Ungumu wa maisha ya ujana na
umuhimu wa kuzingatia ushauri wa waliotuzidi umri na upeo.
Ni ngoma yenye verse mbili na breakdown zikiambatana na chorus tamu ikiwa ni kazi ya defxtro toka Noizmekah Studios Arusha.Pata kuusikiliza HAPA and keep supporting african music..
Powered by www.vmgafrica.com

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA