Header Ads

Breaking News
recent

MECCA CHEKA FT G NAKO - "SOMA" (USIKILIZE WIMBO HUU MPYA HAPA).

Wanakuja tena baada ya collabo heavy na Nakaaya -Darasa Huru,Si wengine bali ni "MeccaCheka" na track mpya kabisa iloundwa pande za www.noizmekah.com wakimshirikisha mkali toka Weusi mzee mzima Gnako katika ngoma waloipa Jina "SOMA" Almando Mwiro & Almando Rizzy wkiwa ndio waasisi wa MeccaCheka Crew wana Mengi kwa Washabiki wa Muzika wa Muziki hapa Bongo na Duniani Kote, Pata kuusikiliza HAPA .

  Powered by www.vmgafrica.com

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.