Header Ads

Breaking News
recent

MALFRED NEW SINGLE - "PIGANA".


Ikiwa ni mkono mwingine toka Label Ya Maisha Music,Malfred anakuja na ngoma mpya kabisa ya reggae inayokwenda kwa jina Pigana, Ikiwa ina ujumbe mzito kwa jamii haswa vijana wa Kisasa. Pata kuusikiliza na ku-Download HAPA 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.