FLAVIANA MATATA ASHIRIKI MISA YA KUWAKUMBUKA WAHANGA WA AJALI YA MV BUKOBA.
Flaviana
Matata akiwa na Baba yake mzazi katika Misa ya maombolezo ya Ajali ya MV
Bukoba ambapo Flaviana alimpoteza Mama yake mzazi, Igoma,Mwanza
Flaviana
Matata akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya kuomboleza katika Makaburi
ya Igoma Mwanza walikozikwa baadhi wananchi walopoteza maisha yao miaka
17 iliyopita.
Flaviana Matata akiwa na marafiki na baadhi ya waombolezaji waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo.
Source by Jestina - George
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA