Header Ads

Breaking News
recent

SAUTI SOL WAACHIA WIMBO MPYA WA VIDEO - "STILL THE ONE".

Hili ni kundi la muziki kutoka nchini Kenye linalozidi kufanya vizuri na kupiga shoo nyingi za nje yani kimataifa.

Kutokana na kazi zao "Sauti Sou" kupendwa na mashabiki wa muziki, wimbo wao mpya hapo juu unaofahamika kama "Still The One" umefanya vizuri katika mitandao mbali mbali.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.