Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA LULU MAIKO AKISHEREKEA KUTIMIZA MIAKA 18 YA KUZALIWA (BIRTHDAY).

Dr. Cheni akiwa na Lulu.
 Muigizaji maarufu nchini Lulu, jana amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 18, ndani ya Serena Hotel akiwa yeye, familia, mwanamuziki Ally Kiba na Bongo movie staa Dr. Cheni pamoja na marafiki wengine.

Keki ya siku ya kuzaliwa ya Lulu.

Lulu akiwa na Ally Kiba.
PICHA NA BaabKubwa Magazine.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.