Header Ads

Breaking News
recent

MWANADADA "ASHANTI" AACHIA WIMBO MPYA - "NEVER SHOULD HAVE" (AUDIO).

Kwa wale wanaopenda miondoko ya R&B hatakosa kumjua mwanadada Ashanti aliyetamba sana miaka ya 200, wakati huo akifanya vizuri na msanii wa hip hop maarufu kama Ja Rule.

Sasa msanii Ashanti ameachia single yake inayokwenda kwa jina la "Never Should Have" aliyoachia kutoka katika album yake mpyaa inayokwenda kwa jina la "Brave Heart" yani moyo wa ujasiri.

ISIKILIZE HAPA.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.