Header Ads

Breaking News
recent

MSANII BOUNAKO NDANI YA "HATARI HATARI".

Msanii wa hip hop "BouNako" kutoka N2N na Majembe ya Kaskazini yuko Studio ya Noizmekah jijini Arusha akirekodi wimbo wake mpya unaoitwa "hatari hatari".

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Facebook, msanii BouNako alitupia picha akiwa studio huku ikiambatana na ujumbe huu.....
"Leo narecord track mpya "Hatari Hatari" Fans wa hiphop hii ni ya kwenu".

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.