HABARI WAPENZI NA WADAU WA MUSIC .HII NI KAZI MPYA TOKA
FNOUK STUDIO
ILIYOPO JIJINI ARUSHA MTAYARISHAJI AKIWA
SAMTIMBER.
HII NI KAZI YA MSANII
TOKA KUNDI LA NAKO2NAKO
BOU NAKO AKIWA AMEMSHIRIKISHA MSANII WA RNB
TOKA MKOANI MOROGORO
BELLE 9 KAZI INAKWENDA KWA JINA LA
"HABARI ZIMEENEA".
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA