Header Ads

Breaking News
recent

THE BEAT DOWN EVERY FRIEDAY - NYOTE MNAKARIBISHWA.

KILA IJUMAA NI SIKU YA SHANGWE , WADAU WOTE WALA BATA MNAKARIBISHWA USIKU WA BEAT DOWN . KUTANA NA MANDHARI NZURI KWENYE LOUNGE YA KISASA NA WAJANJA WA TOWN TUJICHANGANYE HUKU( DJ BIKE WA RADIO 1 )AKISABABISHA NA NGOMA ZA UKWELI. KIINGILIO NI ELFU KUMI (10,000 /=) TU.

 TUNAANZA ILE MIDA YETU YA SA 3 MPAKA ASUBUHI. TUKO MTAA WA ZAMBIA NA MKWAWA . KATA KUSHOTO BAADA YA KCB BANK, NENDA HADI ZAMBIA AMBAYO NI KONA YA PILI KUSHOTO ALAFU KATA KULIA MTAA WA MKWAWA NA UTATUONA NYUMBA YA 5 KULIA. BASI HIYO NDIO MASKANI YA WAJANJA WA TOWN
KARIBUNI.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.