WIMBO WA C - SIR MADINI - FT. JOSEFLY - NDAGU. (AUDIO)
Hii ni kazi mpya kwa mwaka huu ya msanii C-SIR MADINI inayoitwa NDAGU akiwa amemshirikisha JOSEFLY.
NDAGU ni neno la kisukuma linalomaanisha Kafara, hivyo story ya wimbo huu inazungumzia watoto wa familia moja walioamua kuukataa utajiri wa familia yao, baada ya kugundua utajiri huo umetokana na baba yao kumtoa kafara mdogo wao mmoja. Ni wimbo wenye ujumbe unaogusa maisha ya watu wengi. Enjoy
.
.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA