Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA BEYONCE, ALICIA KEYS NA JENIFER HANDSON WAKATI WAKI-PERFORM KATIKA SUPER BOWL XLVII.

Alicia Keys akiiimba wimbo wa taifa katika ufunguzi wa mechi ya mpira katika NfL super Bowl jana.
Beyonce alifunika katika shoo ya ufunguzi wa Super Bowl XLVII.
Jenifer Handson akiimba wimbo wa "America The Beautiful" na kwaya ya shule ya Sandy Hook Elementary - ambayo ilipoteza wanafunzi kwa kupigwa risasi na mtu aliyejitoa muhanga mwaka jana. Hapa ilikuwa ni ufunguzi wa mechi ya mpira katika Super Bowl.

BEYONCE


DESTINY CHILD Pia waliperform.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.